Mgombea Wa Uraisi Wa Serikali Debora Ya Shirikisho Katika Serikali ya WanaFunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Akiwa Katika Moja Ya Kampeni Yake kabla Ya Kampeni Kufungwa Hapo Jana.
Akiwa Katika HekaHeka Za Kuomba Kura Debora.
Wanafunzi Wakiwa Wanasikiliza Kwa Makini Sera Za Mgombea Uraisi Wa Shirikisho Ya Wanafunzi Wa UDOM
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)