Masanduku Yakiandaliwa Kwa ajili Ya Kupigia Kura Kwa Viongozi Wanaowania Nafasi Mbalimbali katika serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma.
Wasimamizi Wa UChaguzi Wakiaanda Masanduku Hayo Leo Asubuhi.
Ila Kwa Bahati Mbaya Zoezi La Kupiga Kura Halikuweza Kufanyika Kwa Sababu Ya Msiba Uliotokea Chuo Hapa. Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Kwanza Aliyekuwa akisoma Shahada ya Kwanza ya jiografia na Utunzaji Wa Mazingira Kufariki Hapo Jana Jioni Baada ya kuishiwa Damu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)