Moja Ya Mtaro Unaoleta Kero Kwa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Uliopo Stand ya Zamani Ya Daladala Katika Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa Na Lugha Ukiwa Unazibuliwa Wakati ukiwa Umejaa Uchafu. Mtaro Huo Unatokea Katika Cafteria Iliyopo Karibu na Kituo Hiko Cha Zamani Kitu Ambacho ni Hatari kwa afya za wananchi wanaoishi karibu na Mazingira Hayo.Mtaro Huo Unamwaga Maji Barabarani Ambapo Watu Wanapita kitu ambacho kinasababisha Harufu Mbaya Katika Mazingira Yanayozunguka Mtaro huo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)