Kifo cha mwasisi na kiongozi wa Mtandao Al-Qaeda, Osama bin Laden (pichani), kimeendelea kuibua utata, huku matangazo yaliyotolewa yakitajwa kuwa na siri nzito.
Ripoti za mitandao ya kiarabu zinakanusha Osama kuuawa Mei 2, mwaka huu, zinaeleza kwamba matangazo yaliyotolewa ni ‘promo’ ya Rais Barack Obama na Uchaguzi wa Urais, Marekani, mwaka ujao.
Mtandao mmoja wa kiarabu ulitoa taarifa katikati ya wiki hii kuwa kitendo cha kuuzika mwili wa anayedaiwa ni Osama habarini ni alama ya kwanza ya kuuzuga ulimwengu.

Uliandika: “Marekani wanajua kuwa Osama angezikwa ardhini, ingekuwa rahisi kufukuliwa na kupimwa DNA (vinasaba) kuona kama ni yeye.
“Wamemtupa baharini kwa lengo la kuficha ukweli. Wanaamini haitajulikana lakini ipo siku wataumbuka. Obama katangaza kifo cha Osama ili kutafuta ahueni ya kisiasa.”
Mtandao huo uliendelea kuandika: “Obama anajua kuwa hali yake kisiasa siyo nzuri na itakuwa taabani mwakani wakati wa Uchaguzi wa Urais, kwa hiyo ametangaza kifo cha Osama ili kuweka hai tumaini la kurejea madarakani.”
Mwandishi wa mtandao huo alidai kuwa wafuasi wa Al-Qaeda wanapaswa kutoa taarifa yao mapema ili ulimwengu usiendelee kulishwa na kushibishwa habari zisizo na ukweli.

Mtandao mwingine ulitoa taarifa waliyoiita ‘Siri ya Damu’ kwa kueleza kwamba Marekani imecheza sinema ya kuigiza kuhusiana na tukio la Mei 2, mwaka huu.
Mtandao huo ulieleza kuwa, Osama alikufa siku nyingi zilizopita na Marekani baada ya kuligundua hilo ndiyo maana wametangaza kumuua ili kujijengea heshima na umaarufu.
Umeandika: “Osama alikufa kwa ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) tangu mwaka 2007. Alizikwa Afghanistan.
“Marekani walimkamata mmoja wa viongozi wa juu wa Al-Qaeda ambaye alitoa siri kamili ya Osama alivyokufa na kuzikwa kwake.
“Kiongozi huyo wa Al-Qaeda aliwapeleka Wamarekani sehemu ambayo Osama alizikwa na baada ya kudhirisha wakaona bora waandae tukio ambalo limefanyika.
“Ni kweli kwamba nyumba iliyoshambuliwa Pakistani ilikuwa inatumiwa na wanaharakati (magaidi) wa Yemen, Afghanistan na Pakistani. Marekani waliishambulia na kuchukua mwili wa mtu mmoja kwenda kuuzika.

“Osama alikufa kwa amri ya Mungu, aliugua maradhi ya tumbo. Tunamuomba Ayman Al-Zawahiri (Kiongozi Mkuu wa Al-Qaeda aliyebaki) atoe tamko kamili.”
Kifo cha Osama ambaye alitambuliwa na serikali ya Marekani kama gaidi namba moja duniani, kilitangazwa na Rais Obama Mei 2, mwaka huu.
Obama alisema kwamba Osama aliuawa akiwa kwenye makazi yake yaliyopo nje ya Jiji la Islamabad, Pakistan alikoishi kwa zaidi ya miaka sita.
Alieleza kuwa, mwishoni mwa Agosti mwaka jana ndiyo walijua kuwa nyumba hiyo ndiyo aliyokuwa anaishi Osama, hivyo walipanga mikakati ya muda mrefu kukamilisha mauaji hayo

Kwa Msaada Wa Global Publishers Tanzania
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)