Afisa
mwendeshaji Mkuu wa Vodacom Tanzania Bw. Petter Corrie (kulia)
akisalimiana na mmoja wa wateja wa Kampuni hiyo walioalikwa kushiriki
futari iliyoandaliwa katika Hoteli ya Movenpick jana maalum kwa wateja
wake.
Mtoa burudani akiburudisha wageni waalikwa, wateja wa Vodacom na baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria futari maalum iliyoandaliwa na Kampuni hiyo katika hoteli ya Movenpick jana.
Wageni waalikwa ambao pia ni wateja wa Vodacom wakipokea zawadi zao
kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo (kulia) mara baada ya
futari maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika Hoteli ya movenpick
jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)