WABUNGE WAUDHURIA SEMINA YA DAWA ZA KULEVYA DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WABUNGE WAUDHURIA SEMINA YA DAWA ZA KULEVYA DODOMA

Baadhi ya Washiriki wa semina ya wabunge kuhusu madawa ya kulevya wakitazama baadhi ya madawa hayo wakati wa semina hiyo, kwenye ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma leo , Augost 20, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Lucy Nkuya akichangia jambo kuhusu biashara ya dawa za kulevyia katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa mjini Dodoma leo Picha na Margreth Kinabo -Maelezo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages