Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walioweza kuchukua muda wao na kunipigia kura katika kinyanganyiro cha kuwa Blog bora Tanzania Katika Vipengere tofautitofauti.
Katika Kinyanganyiro Hiko Nimeweza kuibuka Mshindi Wa Kwanza Katika Kipengere Cha Blog Bora Ya Mjasiria Mali Na Kuibuka Mshindi Wa Pili Katika Kipengele Cha Blog Bora Ya Habari.
Napenda Kuwashukuru Wadau Wangu Wote Kwa Kunipigia Kura Na Kuniwezesha Kuwa Mshindi Katika Mashindano Haya Mapya Na Ya Kwanza Kabisa Katika Nchi Yetu.
Napenda Kuchukua Nafasi Hii Pia Kuwaomba Kuendelea Kushirikiana Na Mimi Katika Kila Kona Na Tusiishie Katika Kupigiana Kura Tu.
Na Kwa Matokeo Zaidi BOFYA HAPA > TANZANIAN BLOG AWARDS 2011
AHSANTE SANA
MUNGU AWABARIKI
JOSEPHAT LUKAZA
LUKAZA BLOG ADMINISTRATOR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)