DAKIKA 30 ZA NYONGEZA ZAWAPA YANGA UBINGWA WA KAGAME CASTLE CUP MWAKA 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DAKIKA 30 ZA NYONGEZA ZAWAPA YANGA UBINGWA WA KAGAME CASTLE CUP MWAKA 2011

Mwali Wa Kagame Castle Cup 2011 Akiwa Tayari Kukabidhiwa Kwa Washindi Wa Soka Tanzania Bara Na Washindi Wapya Wa Kagame Mwaka 2011 Ambao Ni Dar Young Africa Watoto Wa Jangwani
Kikosi Cha Yanga kilichochukua Ushindi Wa Kagame Castle Cup Mwaka 2011 Ambacho Kimetoana Jasho Na timu ya Soka Ya Simba Zote Za Dar Es Salaam Tanzania Kwa Kuwafunga Simba Goli Moja Katika Dakika Ya 28 ya Muda Wa Dakika 30 Ambapo Dakika 90 Za kawaida Walitoka Sare ya Bila Kufungana
Picha Na Othman Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages