Hili ni gari la kubebea wangonjwa lakini lililazimika kubadilisha matumizi yake kwa muda wakati umeme ulipokatika katika uwanja wa taifa na katika kipindi ambacho Waziri wa habari,utamaduni na michezo alipokuwa akikabidhi zawadi kwa washindi pamoja na kombe.
Ni aibu Kwa Nchi Yetu kwa Kukatika Kwa Umeme Katika Uwanja Wa Kisasa Na Mpya Kama Wetu Na mbaya Zaidi Mchezo wa Fainali Kati ya Simba Na Yanga Ulikua Ukionyeshwa na Channel Kubwa Duniani ya Supersport Ambayo ilikua ikirusha Matangazo hayo live
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)