Baadhi ya mashabiki wa Chealsea na Arsenal wakingalia timu zao wakati zilipokuwa zikicheza. |
Huyu akipiga vuvuzela lake huku akiwa amelala ni burudani kubwa katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, kama unavyoona wapiga picha wakihangaika kumpiga picha. |
Mashabiki waangalia michezo ya Serengeti Fiesta Soccer Bonanza. |
Mratibu wa Tamasha la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza Shafii Dauda, akiwaelekeza wachezaji sheria zinazotumika katika michuano hiyo kabla ya mpia kuanza.
(Fullshangweblog)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)