Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Profesa John Nkoma (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mtendaji wa International Telecommunication Union(ITU), Hamadoun Touré wakati Mtendaji huyo wa ITU alipotermbelea ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Toure pia alitembelea idara mbalimbali za TCRA na kujionea vifaa vya kisasa vya kusimamia shughuli za mawasiliano nchini na kutoa pongezi kwa TCRA kwa hatua hiyo waliyofikia.
Prof Mkoma akifafanua jambo juu ya mradi mpya wa anuani za Posta unaoratibiwa na TCRA.
Kaimu Meneja wa TCRA Kanda ya Mashariki Mhandisi,Jumanne Ikuja akifafanua jambo juu ya uratibu wa masafa ya redio wakati Katibu Mtendaji wa ITU Hamadoun Touré alipotembelea ofisi yake.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)