Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Bi Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha kamati ya mawaziri wanne wanaoshughulikia Utaratibu wa ajira kwa Utumishi wa Zanzibar katika Taasisi za Muungano kulia waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma Bi Hawa Ghasia namkurugenzi Uendelezaji sera Ofis ya Rais utumishi Bw Mathias Kabundugura Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Mgosi Mwihava. |
|
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Bi Samia Suluh, akiongoza kikao cha uratibu wa ajira kwa utumishi wa Zanzibar katika taasisi za Muungano, Ofisini kwake mtaa wa Luthuli leo, Picha na Ali Meja-Ofisi Ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)