Mafundi wakiendelea na ubomoaji wa uwanja wa UHURU
Sehemu ya jukwaa la kijani likiwa lianza kubomolewa
Uwanja wa UHURU maarufu kama shamba la bibi umeanza kubomolewa tayari kwa matengenezo ya uwanja huo ambao kwa sasa umesimamishwa kutumika .
Msimamizi wa ujenzi huo XIAG YUZ HANG amesema matengenezo ya uwanja huo yatakamilika NOVEMBER mwaka huu na utakuwa juu na chini hivyo mashabiki wa soka watakaa sehemu mbili na wataondokana na usumbufu wa waliokuwa wanapata awali.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)