Kaseba akitangaza kustaafu.
KUFUATIA kipigo alichokipata jana kutoka kwa mpinzani wake Mada Maugo, bondia Japhet Kaseba ametangaza kustaafu ndondi.
Kaseba alipata kipigo hicho kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ulimalizika katika raundi ya saba baada ya Kaseba kushindwa kuendelea na kujikuta akivua ‘gloves’ kabla ya Maugo kutangazwa mshindi.
Aidha, katika mchezo huo kulitokea fujo mbalimbali za hapa na pale zilizoletwa na mashabiki wa mabondia hao baada ya Kaseba kumkata mtama Maugo.

PICHA: RICHARD BUKOS /GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)