Pichani juu ni moja kati ya kipande cha bomu kilicholipuka kwenye ghala la kuhifadhia silaha za jeshi la wananchi wa Tanzania maeneo ya gongo la mboto usiku wa kuamkia leo kikiwa kimedondoka kwenye makazi ya watu
Pichani juu ni moja kati ya kipande cha bomu kilicholipuka na kukutwa maeneo ya Tabata Chan'gombe
Hiki ni kipande kingine cha Bomu kilichokutwa Maeneo ya Pugu Kajungweni J
Kipande kingine cha Bomu kilichodondoka kwenye makazi ya watu
Baadhi ya watu wakiangalia moja ya nyumba zilizoteketezwa na mlipuko wa mabomu kutoka ghala la kuhifadhia silaha za kijeshi maeneo ya gongo la mboto usiku wa kuamkia leo
Baadhi ya watoto wakiwa kwenye hema kwenye kambi ya muda kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)