Rais Jakaya Kikwete akimlisha chakula mtoto Sarafina Idd (3) Mkazi wa Gongo la Mboto kituo kipya alipowatembelea majeruhi wa Mabomu waliolazwa Hospitali ya manispaa ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam akiwafariji na kuwapa pole mtoto Aisha Omary (4) na Mama yake Ester Kilochi wakazi wa Gongo la mboto Moshi bar wakiwa wamelazwa Hospitali ya wilaya ya Ilala Dar es salaam Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua eneo la tukio, katika kambi ya JWTZ Ukonga yalikolipuka mabomu hayo
Waziri wa Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi(Kushoto) akizungumza na Mkuu wa JWTZ,Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu wa Jeshi hilo, Abdurahman Shimbo, baada ya Rais kuondoka eneo la tukio
Baadhi ua majeruhi wakiwa katika hospitali ya Temeke Majeruhi aliyefikishwa hospitali ya Temeke akiwa hoi, akisaidiwa Watu wakidandia lori baada ya kukosa usafiri walipokuwa wakikimbia makazi yao Rais Jakaya Kikwete akiondoka Gongo la Mboto Muda mfupi baada ya kufanbya ziara.Picha na Mdau Bashir Nkoromo na Fredy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)