Majeruhi Akifikishwa katika hospitali ya Amana Usiku Huu kwaajili ya kupewa huduma baada ya kukumbana na mlipuko ya mabomu yanayoendelea kutokea usiku huu katika ghala namba 5 la kuifadhia silaha la jeshi la wananchi wa Tanzania katika kambi Iliyopo Gongo la mboto
Watoto wakiwa pamoja na mama yao ambae ni majeruhi katika hospitali ya Amana wakati wa kizaazaa cha Milipuko ya mabomu usiki katika kambi ya jeshi iliyopo Gongo la mboto
Gari ya Kubebea Wagonjwa likiwasili usiku huu katika hospitali ya Muhimbili likiwa na Majeruhi wa Milipuko ya Mabomu Usiku Huu gongo la mboto katika kambi ya jeshi.
Wakazi Wa Gongo la Mboto na Maeneo Jirani Wakijaribu Kuokoa Maisha Yao Kwa kukimbia sehemu Ambazo walihisi kuna usalama na wengine wakikimbia pasipojulikana usiku huu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)