AZAM FC YAWALAMBISHA ICE CREAM AFRICA LYON LEO 3-0 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AZAM FC YAWALAMBISHA ICE CREAM AFRICA LYON LEO 3-0

Beki wa Africa lyon Uberi Ubwa akijalibu kumzuia Mshambuliaji Wa Azam Fc Mrisho Khalifan Ngasa Wakati wa Mchezo Wa Ligi Kuu Ya Tanzania Bara ya Vodacom Leo.Azam Yaibuka Na Ushindi Wa Magoli 3 kwa 0 Dhidi ya Africa Lyon.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages