TASWIRA ZAIDI YA MSIBA WA MSANII NGULI WA FILAMU TANZANIA MAREHEMU STEVEN KANUMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TASWIRA ZAIDI YA MSIBA WA MSANII NGULI WA FILAMU TANZANIA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Bi Mwenda akiwa analia
 Cheti cha Hospitali cha kanumba
Mvua ilipoanza kunyesha wananchi wakaanza kujifunika kwa viti kwenye msiba wa marehemu Steven Kanumba
Mainda alipokua akiwasili kwenye msiba wa Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwa marehemu sinza vatican
Umati wa wananchi waliofika nyumbani kwa marehemu sinza vatican
 Barabara ikiwa imefungwa wakati wananchi walipohudhuria msiba wa marehemu Steven Kanumba nyumbani kwa marehemu Sinza Vatican
Umati uliokusanyika nje ya nyumba ya marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican
Makundi makundi yalikua kila sehemu za jiji la dar likiongelea kifo cha msanii nguli wa filamu nchini na afrika kwa ujumla Steven Kanumba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages