RAIS KIKWETE AFANYA MAHOJIANO NA CINEVIDEO YA BRAZIL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

RAIS KIKWETE AFANYA MAHOJIANO NA CINEVIDEO YA BRAZIL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1368d7db89a302e6&attid=0 
RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA CREW YA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYO MAHOJIANO IJUMAA USIKU  IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1368d7db89a302e6&attid=0 
RAIS  DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPEANA MIKONO NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYE MAHOJIANO IJUMAA USIKU  IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA  HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA. KULIA NI PRODUCER NA DIRECTOR WA CINEVIDEO BI MONICA MONTIERO
?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1368d7db89a302e6&attid=0 
 RAIS  DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPEANA AKIHOJIANA NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL  IJUMAA USIKU  IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA  HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA.  MAAHOJIANO HAYO, YALIYOHUSU MASUALA MBALIMBALI IKIWEMO
 ?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1368d7db89a302e6&attid=0 
RAIS  DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPEANA MIKONO NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYE MAHOJIANO IJUMAA USIKU  IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA  HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA. KATIKATI  NI PRODUCER NA DIRECTOR WA CINEVIDEO BI MONICA MONTIERO.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages