MANENO AU MATUMLA KUONDOKA NA NGAO YA PASAKA KESHO NDANI YA DAR LIVE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MANENO AU MATUMLA KUONDOKA NA NGAO YA PASAKA KESHO NDANI YA DAR LIVE

DSC_0218Katibu wa chama cha Masumbwi ya kulipwa nchini Antoni Rutta akiwainua mikono juu mabondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Dar live.
DSC_0218Katibu wa chama cha Masumbwi ya kulipwa nchini Antoni Rutta akiwainua mikono juu mabondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea Ngao ya Pasaka utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Dar live
DSC_0301Alphonce Mchumia tumbo akitamba(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
DSC_0296Mabondia wa kike wakitunishiana misuri kwa ajili ya kutambulisha mpambano wao kesho kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda baada ya kupima uzito leo katikati ni mratibu wa mchezo huo Kaike Siraju.
DSC_0284Mabondia Rashidi Matumla na Maneno Osward waklitambiana leo kwa ajili ya mpambano wao kesho.
DSC_0260Bondia Furaha Nganda akipimwa presha na Dr. Donald Madono kwa ajili ya mpambano wake kesho.
DSC_0219Mmewaona kesho wanagombea ngao ya Pasaka.
DSC_0234Mchumia Tumbo kwenye pozi.
DSC_0220Auniwezi ndio wanavyotambiana bondia Rashidi Matumla kushoto na Maneno Osward.
DSC_0218kumaliza ubishi kesho ndani ya Dar live.
DSC_0236Wewe cha mtoto tuuu uniwezi ndivyo walivyokuwa wakipeanma mkwara mabondia wa kike kushoto ni Jamhuri Saidi na Furaha Nganda.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages