TAARIFA KWA WASAMARIA WEMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAARIFA KWA WASAMARIA WEMA

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=1368d75fa8b92558&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_h0qs8dso0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1333817413180&sads=yPlxjX8zzAeW7r_O8y9BBwB1rEw 
KATIBU WAKATI AKIZUNGUMZA NA KUTOA TAARIFA HII KWA WADAU

TAARIFA KWA WADAU NA WASAMARIA WEMA

CHAMA CHA MAALBINO WILAYA YA TEMEKE KINAWAOMBA WADAU WOTE KUWASAIDIA MSAADA WA GHARAMA ZA NAULI KWENDA LINDI KUHUDHURIA MAADHIMISHO YA ALBINO DAY AMBAYO YANAFANYIKA KITAIFA MKOA WA LINDI. JUMLA YA WASHIRIKI 20 WANATAKIWA KUHUDHURIA. MSAADA UNAOTAKIWA NI FEDHA ZA NAULI SHS. 1,000,000/- AMBAZO NI SAWA NA 50,000/- KWA KILA MSHIRIKI. UNAWEZA KUTOA FEDHA TASLMU AMA TIKETI ZA BUS KULINGANA NA UWEZO WAKO. PIA MICHANGO YENU INAWEZA KUTUMWA MOJA KWA MOJA KUPITIA AKAUNTI NAMBA 2012300323 NMB - BENKI HOUSE. PIA WAWEZA KUJA OFISINI KWETU TANDIKA MWISHO, OFISI YA MTENDAJI WA KATA YA TANDIKA.
WASHIRIKI WANATAKIWA KUONDOKA TAREHE 29/4/2012.
PIA MISAADA YA FEDHA TASLIMU INAWEZA KUTUMWA KUPITIA HUDUMA YA M-PESA NA TIGO PESA KWA NAMBA ZIFUATAZO
0766 415248, 0769 273951, 0717 285055, 0718 926768



AMA UNAWEZA KUWASILIANA MOJA KWA MOJA NA VIONGOZI WA CHAMA KUPITIA SIMU ZILIZOTAJWA HAPA CHINI

0717 285055, 0718 926768.
LIMETOLEWA NA:
GASTON HEMED MCHEKAKATIBU WA WILAYA.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages