WASHINDI WA BAJAJ NA PIKIPIKI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO NA SERENGETI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASHINDI WA BAJAJ NA PIKIPIKI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO NA SERENGETI

 Meneja wa bia ya Serengeti Lager Bw. Allan Chonjo akikabidhi kadi ya usajili wa Bajaj aliyojishindia Bw Richard Mbezi wa jijini baada ya kushinda katika bahati nasibu ya Promosheni ya Vumbua Dhahabu Chini ya Kizibo inayoendesha na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia bia zake za Serengeti. Tusker na Pilsner, mkabidhiano hayo yalifanyika jana katika bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza katika viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam.
 Bw. Mbaraka Adam mshindi wa Pikipiki katika promosheni ya Vumbua Dhahabu chin i ya Kizibo akipanda pikipiki yake mara baada ya kukabidhiwa kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam, kulia katika picha ni Allan Chonjo Meneja wa bia ya Serengeti, Bahati Singh Meneja wa Matukio na Promosheni.
Meneja Matukio na Promosheni wa kampuni ya bia ya Serengeti Bahati Singh akimuelekeza kitu Bw. Richard Mbezi mara baada ya kukabidhiwa jana kwenye viwanja vya TCC Sigara jana, kushoto ni Allan Chonjo Meneja wa bia ya Serengeti.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages