Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar, Balozi Seif wakiteta katika Mkutano wa Kamati ya Sensa
ya Kitaifa uliofanyika Mjini Zanzibar , Julai 14,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitafa, Mjini Zanzibar Julai
14,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)