Warembo
wanaowania taji la Redd's Miss Pwani wakiwa katika pozi la picha
katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Apaikunda,iliyopo Kibaha
maili moja.Warembo hawa usiku wa leo wanaingia katika kinyang'anyiro
hicho kitakachofanyika kwenye ukumbi wa hoteli hiyo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)