Meneja
wa Bia ya Ndovu special Malt Pamela Kikuli akizungumza na wadau
mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo
katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam-Kushoto na kulia ni miongoni
mwa wadau wa bia hiyo nchini
Wadau
mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha bia nchini Tlb
wakitaza sehemu ya mabadiliko ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi muonekano
mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam ambapo bia
hiyo iliweza kutambulisha mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano wake
huku ladha yake ikibakia kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada
ya Ndovu kushinda Medali ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand
Gold Quality Medal ya Monder Selection.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)