Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akihudhuria kikao cha Ulinzi na Usalama cha
Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. Kulia ni Rais Robert
Mugabe wa Zimbabwe
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa
wafanyabiashara kutoka nchini China Bwana Quan Zhezhu wakati
walipokutana jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkr.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na ujumbe wa wafanyabiashara wakubwa kutoka China. Picha Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)