Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba
akibadilishana mawazo na Wajumbe wengine katika Kijiji cha Veyula, Kata
ya Makutupora, Dodoma Jumatano, Julai 11. 2012, kabla ya kuanza kwa
mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Picha na Omega Ngole
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)