Mavazi.co.tz Ni tovuti inayokuwezesha wewe mtanzania na usiye mtanzania kuweza kununua nguo za aina zote,viatu ukiwa hapo ulipo.Huitaji kwenda madukani kutafuta nguo maana MAVAZI tumekurahisishia maisha na kukufanya ununue nguo,viatu ukiwa kwenye kompyuta yako. Na Sisi tutakuletea hadi hapo ulipo.
Tovuti ya MAVAZI itakurahisishia wewe mwananchi kuweza kununua nguo unayotaka au kiatu unachotaka ukiwa hapo hapo umekaa na sisi tutakuletea hapo hapo ulipo.
Jinsi ya Kununu Nguo au Viatu unachotakiwa kufanya ni Kufungua WEBSITE HII: www.mavazi.co.tz na kuchagua Unachokitaka hapo halafu sisi tutapata ujumbe na utatakiwa kulipa na sisi tutakuletea mzigo hadi hapo ulipo.
Hakuna haja Tena ya Kuhangaika Kwenda Madukani MAVAZI tumekurahisishia Maisha Na Nunua Kupitia Kwetu.
Kwa Maelezo Zaidi Tembelea
Website: http://www.mavazi.co.tz
AU Simu: +255 714 88 00 07
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)