Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati alipokutana na ujumbe
huo jijini London, Uingereza, Jana kwa mazungumzo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu cha maandalizi ya
mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM)
kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano wake mkuu wa Global
2012 International Smart Partneship Dialogue unaotarajiwa kufanyika
mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam.
Jakaya
Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Lowassa, baada ya kukutana
nao jijini London, Uingereza jana na kufanya nao mazungumzo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)