Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika ofisi za Soko la
Mitaji na Mazao la Ethiopia leo Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa
mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida
wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa.
Rais Jakaya Kikwete akiwekewa kahawa katika kikombe baada ya kishuhudia
namna kahawa inavyoandaliwa kaisili katika ofisi za Soko la Mitaji na
Mazao la Ethiopia leo Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio
ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara
ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya masoko ya hisa na mitaji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kengele kuashiria mwanzo wa soko
katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia leo
Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo
wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na
kimataifa kwa njia ya kisasa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia wachuuzi wakiwa kazini baada ya
kufunguliwa kwa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya
Mazao la Ethiopia leo Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio
ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara
ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya soko la hisa na mitaji.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)