Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ezekieli Maige katika
Akiongea na waandishi wa habari leo .katika. Hafla ya kukabidhi ofisi
kwa waziri mpya wa wizara hiyo Mh Balozi Khamis Kagasheki ambaye ni wa
kwanza kushoto na Naibu Waziri wake Mhe.Lazaro Nyarandu ambaye ni
wa kwanza kulia.katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya maliasili na
utalii jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akisisitiza
jambo katika hafla hiyo ya makabidhiano ya ofisi iliyofanyika leo katika
wizara ya maliasili na utalii.
Waziri wa maliasili na utalii Mh; Balozi Khamisi Kagasheki akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo ambapo
amesema watendaji wote walioguswa na kashfa mbalimbali katika wizara
hiyo watachukuliwa hatua za kisheria mara moja iwezekanavyo.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)