MATUKIO YA UFUNGAJI WA AWAMU YA KWANZA YA UTENGAJI WA MAENEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI TABORA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MATUKIO YA UFUNGAJI WA AWAMU YA KWANZA YA UTENGAJI WA MAENEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI TABORA

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza jambo na mkuu wa mkoa wa Tabora Bi. Fatma Mwasa wakati wa sherehe za ufungaji wa awamu ya kwanza ya utengaji wa maeneo ya sensa ya watu na makazi katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa katika viwanja vya Chipukizi mjini Tabora kushuhudia ufungaji wa awamu ya kwanza ya utengaji wa maeneo ya Sensa ya watu na Makazi.
Vijana wa kikosi cha ulinzi wa jadi cha Sungusungu (waliokaa chini) pamoja na wananchi wa mkoa wa Tabora wakifuatilia zoezi la ufungaji wa awamu ya kwanza ya utengaji wa maeneo ya sensa ya watu na makazi mkoani Tabora.
Wadau wa sensa ya watu na makazi 2012 Bw. Bakari Kimwanga kutoka gazeti la Mtanzania (kushoto) na Bw. Said Ameir kutoka Ofisi ya taifa ya Takwimu (kulia) wakiwa ndani ya msitu wa tula wilayani  Uyui kwenye barabara kuu itokayo mkoani Tabora mara baada ya kukamilika kwa shughuli za ufungaji wa awamu ya kwanza ya utengaji wa maeneo ya sensa  ya watu na makazi zilizofanyika kitaifa mkoani humo.(PICHA NA ARON MSIGWA WA MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages