Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga (kushoto)
akibadilishana Mkataba wa Udhamini wa Bia ya Kilimanjaro kwa Timu ya
Taifa "Taifa Stars" na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Robin Goetzsche (kulia) wakati wa hafla fupi iliyofanyika usiku huu
kwenye ukumbi wa Kibo,ndani ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam,
The Kilimanjaro.
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga (pili
kushoto waliokaa) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Robin Goetzsche (pili kulia waliokaa) wakisaini Mkataba wa Udhamini wa
Bia ya Kilimanjaro kwa Timu ya Taifa "Taifa Stars" wakati wa hafla fupi
iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Kibo,ndani ya Hoteli ya Hyatt
Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.Wanaoshuhudia ni viongozi mbali
mbali wa TFF na Kampuni ya Bia Tanzania.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steven Kilindo (kulia waliokaa) na
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Maadili na hadhi za Wachezaji,Alex
Mgongolwa wakisaini mkataba huo.
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akipiga mpira kuashiria kuwa sasa
udhamini umekalika kwa Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" wakati wa
hafla fupi iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Kibo,ndani ya Hoteli
ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche akitoa hotuba
yake fupi wakati wa hafla hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa
Kibo,ndani ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga akitoa
shukrani kwa Kampuni ya Bia Tanzania kwa kuweza kuidhamini timu ya Taifa
"Taifa Stars" kupitia Bia yake ya Kilimanjaro,wakati wa hafla
fupi iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Kibo,ndani ya Hoteli ya
Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akitoa maelezo mafupi ya Udhamini
huo kwa wageni mbali mbali waliofika ukumbini hapo.Picha Kwa Hisani Ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)