Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa Afrika wakiwa katika
mdahalo wa Taasisi ya Kilimo ya GroAfrica, uliofanyika katika jengo la
Makao Makuu Mapya ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia
leo. Mdahalo huo umefanyika kingoni mwa Mkutano wa Uchumi wa Kimataifa
kwa Afrika. PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)