NAOMBENI KURA ZENU ILI NIWEZE KUINGIA KUMI BORA NA KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA EXCEL WITH GRAND MALT TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAOMBENI KURA ZENU ILI NIWEZE KUINGIA KUMI BORA NA KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA EXCEL WITH GRAND MALT TANZANIA

Nilipokua nikipanda mche wa mti Ndani ya Kitivo Cha Elimu UDOM
Tovuti ya Kupigia kura inavyoonekana wakati ikiwa imashafunguliwa

NAOMBA MNICHAGUE MIMI JOSEPHAT LUKAZA ILI NIWEZE KUIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO LA EXCEL WITH GRAND MALT KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA KATIKA CATEGORY YA INNOVATION NOMINEE.

JINSI YA KUSHIRIKI KWA NJIA YA KUTUMA UJUMBE MFUPI WA SIMU UNAANDIKA

"INV UDOM JOSEPHAT LUKAZA 3rd YEAR" HALAFU UNATUMA KWENDA NAMBA 0653202000

NA KUNIPIGIA KURA KWA KUTUMIA TOVUTI: UNAFUNGUA TOVUTI HII
http://www.excelwithgrandmalt.com ikifunguka Unajaza 
Jina Lako, Namba yako ya Simu halafu Kwenye Sehemu Ya College UNA CHAGUA COLLEGE NINAYOSOMA AMBAYO NI UNIVERSITY OF DODOMA..ukijaza hapo Kuna Field Zinafunguka Zikifunguka Unajaza field ya kwanza

INNOVATION NOMINEE utaandika JOSEPHAT LUKAZA
Year Of Study utaandika/kuchagua 3rd Year

Then Utaenda Mwisho wa Post hizo Na Kubofya Submit baada ya Hapo Kuna Field inafunguka na kukuuliza ARE YOU SURE? unabofya OK na utakuwa umemaliza

Zoezi la Kupiga Kura Kwa Awamu ya Kwanza litaisha Tarehe 18 may 2012 ili washindi kumi waweze kupatikana

UNAWEZA KUPIGA KURA HATA MILIONI KUMI KWA SEKUNDE,DAKIKA,SAA NA HATA SIKU HAKUNA LIMITATION KWENYE KUPIGA KURA.PIGA KURA UWEZAVYO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages