Rais Jakaya
Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Hoteli ya
Sheraton jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano
la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700
wa nchi mbalimbali duniani. (Picha na Ikulu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)