Makamu mwenyekiti wa timu ya Simba Bw. Godifrey Nyange
''Kaburu''akionyesha ishara ya vidole vitano na mchezaji nyota wa timu
hiyo Emmanueli
Okwi, kwa kuonyesha alama hii huenda walikuwa wakimaanisha ushindi wa
magoli 5 walioupata baada ya kuwafunga watani wao timu ya Yanga .hii
ilikuwa katika uwanja wa ndege wa mwalimu juliasi Nyerere jijini Dar es
salaam wakati timu hiyo ikijianda kuondoka kwenda Sudani kwenye mchezo
wao wa marudio na Al Hilal Shandy jumapili ijayo.
Kapteni wa timu ya Simba Juma Kaseja akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi ya timu hiyo.
Makamu mwenyekiti wa timu ya simba Bw;Godifrey Nyange ''Kaburu akiteta jambo na wachezaji wa timu ya Simba.
Wachezaji wa timu ya Simba wakiingia kwenye chumba maalumu tayari kwa kuondoka.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)