Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Stephen Wasira (katikati ) na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2012.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira akizungumza na Waziri wa
Viwanda, Biashara na Masoko, Cyril Chami kwenye Ofisi za Bunge Mjini
Dodoma Februari 6, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya MAAT
International ya Spain, Bw. Santiago Jimenez Barull kabla ya mazungumzo
yao, Ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Februari 6, 2012. Kampuni
hiyo inakusudia kuwekeza nchini katika kilimo na madini. Katikati ni
Mbunge wa Wawi na mwenyeji wa Mgeni huyo. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)