RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI DODOMA

Rais Jakaya Kikwete akiteta na mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Februari 6, 2012 akitokea Mwanza.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Mwanza Februari 6,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages