Taswira Halisi Kutoka Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Leo Hii Kufwatia Mgomo Wa Madaktari Unaoendelea Hivi Sasa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Halisi Kutoka Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Leo Hii Kufwatia Mgomo Wa Madaktari Unaoendelea Hivi Sasa

Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari
Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu
Muonekano wa Wodi Mbalimbali
Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu
Vitanda vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa
Viti vya kubebea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vikiwa vitupu kabisa
Koridoro za hospitali ya Taifa ya Muhimbili Zikiwa Tupu Leo hii kufwatia Mgomo wa Madaktari Nchini
Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu
Bi Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali halisi na athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre

2 comments:

  1. Duhh inasikitisha sana,sasa wasio na uwezo wa kuwapeleka wagonjwa wao kwenye Hospitali za kulipia ndiyo Wanakufa jamani.

    ReplyDelete
  2. hali ni mbaya kweli kwa wasiokua na uwezo maana ndugu jamaa na marafiki tutawapoteza kwanini serikali iswajibu madaktari hao

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages