Taswira Za Maandamano ya Wanaharakati Jijini Dar es Salaam Leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Za Maandamano ya Wanaharakati Jijini Dar es Salaam Leo

Wanagharakati wakiwa na mabango yao leo kwenye maandano eneo la salender brige jijini Dar esSaalm
Wadau Mbalimbali walioshiriki kwenye Maandamano ya Wanaharakati
Mmoja wa Waandamanaji
Mama Kijo Bisimba-Mkurugenzi wa LHRC akiongea na Waandishi wa Habari kwenye Maandamano hayo
Mama Kijo Bisimba-LHRC Mkurugenzi nae akiwa kwenye maadamano hayo ya wanaharakati muda mfupi uliopita jijini Dar es Salaam
Viongozi wa Jeshi la Polisi wakihakikisha hali ya usalama inakuwepo

Jeshi la Polisi likitoa maelekezo ya kutawanya maaandamano hayo ya wanaharakati yaliyofika katika ya jiji la Dar es Salaam Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea Nchini wameandamana na wamekusanyika hapo salender bridge...Kituo Cha Legal and Human Rights Centre, wakishirikiana na asasi nyingine nyingi za kiraia, waliandaa maandamano ya amani Leo saa tisa mchana leo mabapo walianzia Salendar Bridge Wakiwa na mabango kibao wakiishinikiza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Mganga Mkuu Wizara ya Afya wafutwe kazi mara moja; madaktari warudi kazini mara moja; serikali na madaktari wakae meza moja na kujadili masuala muhimu ya afya, na wafikie makubaliano ndani ya miezi mitatu.Picha na Habari na Mdau Fakhi Karume na
Legal and Human Rights Centre

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages