BREAKING NEWSSSS,MAANDAMANO YA WANAHARAKATI DAR ES SALAAM SASA HIVI! - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWSSSS,MAANDAMANO YA WANAHARAKATI DAR ES SALAAM SASA HIVI!

Haya ndio maandamano yanayoendelea sasa hivi Palm Beach Dar es salaam, yanawahusisha wagonjwa na wanaharakati kuhusu hali ya hospitali ya Muhimbili, nitaendelea kuweka picha nyingine kadri zinavyonifikia 


picha kutoka kwa Michael Dalali fB.

KWA HISANI YA MILLARD AYO WESITE.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages