UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI WAKARIBIA KUANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI WAKARIBIA KUANZA

Baaadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya kusaini ujenzi wa jengo la Kigamboni
 Waziri wa Ujenzi John Magufuli wa nne kutoka kulia wakisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Daraja la Kigamboni litakalojengwa na Kampuni kutoka China ya Railway Construction Engneering Group
Mchoro wa Daraja wa Kigambo unaotarajia kuanza hivi karibuni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya China Railway Construction Engneering Group, Shi Yuan wa pili kutoka (kulia),wakisaini mkataba wa Ujenzi  Ujenzi wa Daraja la Kigamboni lenye urefu wa mita 600 utakaogharimu zaidi ya Sh Bilion 200. Halfa hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana.  Picha na Anthony Siame.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages