Mwenyekiti
Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akilakiwa na Katibu Mkuu wa
CCM, Wilson Mukama alipowasili leo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
Dar es Salaam, akitoka Afrika Kusini ambako alimwakilisha Rais Jakaya
Kikwete katika maadhimisho ya miaka 100 ya chama cha ANC. Kati niu Mama
Anna Mkapa.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)