Wasanii wa kundi la Wanaume Family Chege na Temba wakifanya makamzi jukwaani hapo.
Chege akiwajibika kwa sataili yake.
Baadhi ya mashabiki wa kijinafasi na kundi la East Afrika Merodi Taarab.
Muimbaji wa kundi la East Afrika Merodi’ Mwanhawa Ally, akitumbuiza jukwaani hapo.
Dogo Aslay akionyesha uwezo wake jukwaani.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Na Musa Mateja
WASANII
wanaounda kundi la TMK Family usiku wa kuamkia leo walifanya makamzi ya
kufa mtu katika tamasha la Family Day Bonanza lilifanyika ndani ya
Ukumbi wa Dar Live Bangala jijini Dar es Salaam.
Katika
Bonanza hilo pia lilitumbuizwa na Bendi ya Extra Bongo “Next Level’,
East Afrika Merodi Taarab, kundi la JNY na kundi la Mkubwa na wanaye
ambapo meneja wa kundi la Wanaume Family Saidi Fella alimtambulisha
Mwalami Hamisi ‘Dogo Mo‘ kutoka katika kempu yake ya mkubwa na wanaye
ambaye alionyesha uwezo wa kuimba na kukata nyonga zaidi ya Aslay
Isihaka ‘Dogo Asley’.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)