Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,kwa
mashirikiano kati ya Serikali a Mapinduzi na Shirika la misaada la
Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(watatu kulia) Balozi wa Norway
Nchini Tanzania Bibi Igun Klepsvik.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama Uzinduzi
wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,kwa mashirikiano kati ya Serikali a
Mapinduzi na Shirika la misaada la Norway (NORAD),ikiwa ni katika
shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,( kushoto) Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bibi Igun Klepsvik.
Rais
wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akipeana mkono wa kupongezana na Balozi wa Norway Nchini Bibi Igun
Klepsvik,baada ya kuifungua rasmi wa Barabara ya Kengeja-Mwambe,kwa
mashirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi na Shirika la misaada la
Norway (NORAD),ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)