Muuzaji wa
sare za shule (kulia) akijadiliana bei na wazazi mbalimbali huku mmoja
wa watoto akijaribu moja ya shati ili kujua kama linamtosha kama
walivyokutwa katika Soko la Manzese, Dar es Salaam jana. Kumekuwa na
pilikapilika za wazazi kununua sare hizo kutokana na shule kufunguliwa
nchini kote leo. (Picha na Mohamed Mambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)