Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata
(katikati) akikabidhi moja ya magodoro kwa Makamu Mwenyekiti wa Feed
and Tend International (FTI),Bw. Joseph Jacob (kushoto) leo hii, ikiwa
ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa
watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kushoto) akikabidhi
box ya Maziwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Feed and Tend International
(FTI),Bw. Joseph Jacob (kulia) leo hii,ikiwa ni sehemu ya msaada wa
vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha
FTI Masumbwe.Wengine Pichani ni Sehemu ya Watoto hao.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kushoto) akikabidhi
Maziwa ya kopo kwa baadhi ya Watoto wa Kituo cha Feed and Tend
International (FTI) ikiwa ni sehemu ya msaada wa
vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha
FTI Masumbwe.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na na baadhi ya watoto Yatima wa kituo cha FTI
Masumbwe.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)