KAMERA YA LUKAZA BLOG NDANI YA KITIVO CHA ELIMU CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA JIONI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMERA YA LUKAZA BLOG NDANI YA KITIVO CHA ELIMU CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA JIONI HII

Hosteli za Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma Zinavyoonekana wakati ukiwa unaelekea katika kitivo hiko
Hayo ni Majengo hapo ni baadhi ya hostel za kitivo cha elimu cha chuo kikuu cha Dodoma kama yanavyoonekana kwenye picha hapo
Hili ni Moja ya Ofisi za Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma kama lilivyonaswa na Kamera yetu
Mandhari ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma yanavyovutia huku mlima uliopo nyuma ya Hostel ukiwa unawaka kwa rangi ya kijana wakati huu wa mvua Mkoani Dodoma
Huu ndio Mlima Uliopo Nyuma ya Hostel katika Picha hapo Juu Jinsi unavyomeremeta kwa rangi nzuri ya Kijana Na Mlima Huu Ndipo Minara Yote ya Kampuni ya Simu Ilipowekwa kuakikisha Kuwa Hakuna Shida ya Mawasiliano Katika Chuo Kikuu Cha Dodoma na Vitongoj Vyake Kama Minara inavyooneka katika Picha hapo Juu
Hili ndilo jengo la maktaba ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma
Hapa ndio mbele ya Maktaba ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma kama panavyoonekana
 Hiki ni baadhi ya Chumba Katika Hostel za Kitivo Cha Elimu. Chumba Hiki kwa kweli kimepangiliwa Vizuri sana hadi kuvutia mgeni anayeingia humu.
Maeneo yanayozunguka Hostel za Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma
Hapa ndipo kituo cha Daladala Cha Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma kama Panavyoonekana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages